Search

Free
Free Mafundisho ya Yesu Mlimani - Bangalore

Books - Magazines
Posted 3 months ago
1 views

Free
Free Mafundisho ya Yesu Mlimani - Bangalore

Books - Magazines
Posted 3 months ago
1 views

Description

Kristu anazungumza (Sehemu za kitabu «Hili ndilo Neno Langu»):Mafundisho ya Mlimani ni njia ya kiroho inayoongoza moyoni mwa Mungu, kwenye ukamilifu.Ninaongoza watu wangu kwenye ufahamu wa ukweli.«Heri walio maskini wa roho, maana Ufalme wa Mbinguni ni wao!» Neno «maskini» halimaanishi ukosefu wa mali. Siyo ukosefu wa mali ndio unaleta raha rohoni bali mshikamano wa kina na Mungu, kwa kutimiza mapenzi yake. Huo ndio utajiri wa kiroho.Neno «maskini» lamaanisha wale wote wasiotafuta kumiliki na kujirundikia mali… Utajiri wao wa ndani ni maisha katika Mungu, kwa manufaa ya Mungu na ya majirani wao. Wanatimiza amri «Omba na tenda kazi».«Heri wanaoteswa, kwa maana watafarijiwa.»Mungu siye mhusika wa mateso ya mwanadamu…16 pages

Contact Gabriele Publishing (seller)

    Free Mafundisho ya Yesu Mlimani - Bangalore - 1
    Free Mafundisho ya Yesu Mlimani - Bangalore
    Free
    To protect against prohibited activities, we may check your message before it is forwarded to the recipient and, if necessary, block it.

    Other items from this seller

    Comments

    No comments has been added yet, be first to comment this ad!
    Add comment

    Seller details

    Gabriele Publishing
    Gabriele Publishing
    15 active listings
    Non-Professional seller
    Unregistered user
    Contact

    Listing location

    Bangalore

    Stay safe!

    Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement. No serious private advertisers ask for a down payment before you meet. Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
    Free Mafundisho ya Yesu Mlimani - Bangalore
    Free Free Mafundisho ya Yesu Mlimani - Bangalore by Gabriele Publishing